DUNIA NYINGINE |3|

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 мар 2025
  • Follow Bravoo Genius on Instagram / bravoogenius
    Follow Bravoo Genius on Facebook / bravoogx
    Follow Bravoo Genius on TikTok www.tiktok.com...
    #komando #diamondplatnumz #mwakatobe #clamvevo #snakeboy #mutirowafanzandrama #mbengotv #latestnigerianmoviesthisweek #chididikemovies #nollywood #zuchu #nbshortfilms #directorbravoo #latestnollywoodmovies #samspedy #shortfilm #subtitledmovies #newbongomovie #ruthkadiri247 #africanmovies #americanseries
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 214

  • @lizchepkorir2000
    @lizchepkorir2000 Год назад +26

    Nimeipenda sana movie kali naifuatilia kwa kina❤️🔥🔥keep moving bro you're heading somewhere🙏🙏much love from 🇰🇪

  • @achimorito5662
    @achimorito5662 Год назад +1

    Nimeikubali sana ii movie kazi mzuri tujitume jmn 😊😊😊😊😊

  • @zaykham155
    @zaykham155 Год назад +77

    Yuhuuuuu sijachelewa san jmn naomba like japo 5 maan wat mnalala humu naona🤣🥳🥳🥰 bravoo genius unajuw san mtafika mbali ila usichelewe kutoa episode nyngne tunawapend san sanura upo vzr zaid 🥳🥳🥳😘hiii dunia nyengne ni kali san 🔥🔥🔥

  • @itwas2022
    @itwas2022 Год назад +28

    Kutoka Director Bravoo Mpaka Bravoo Genius 🎉🎉🎉🎉 Kama Unakubali Mwamba Ni Genius Gonga Like Hapa🎉🎉🎉

  • @SifaNiyokwizera-q7y
    @SifaNiyokwizera-q7y Год назад +20

    Wakwanza mimi guys naomba like from Burundi 🇧🇮

  • @SaidatIbrahim-l7o
    @SaidatIbrahim-l7o Год назад +1

    Huyu mkewe bravoo ana saut nzur mashallah hlf mpole yan adi raha❤❤❤❤

  • @nurumangi9295
    @nurumangi9295 Год назад +1

    I love kibonge mayele❤😅

  • @DADAZfilms2023
    @DADAZfilms2023 Год назад +5

    Kwaiyo bravoo iyo miuno ya huyo mchawii ndo waiyogopa?? Leo nimeshuhudia hadi umezimia maskini pole bravoo,. Sema nn dunia nyengine Ina balaa🔥🔥🙌. Naombeni like jmn mama enu❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥💥😩

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Год назад +11

    Dunia nyingine ni bongee la movie jamani na naproud Kwa kuitafusria Kwa kingeleza❤❤❤😢😢😢😢😢

  • @jeanmarie4665
    @jeanmarie4665 Год назад +7

    Dr.Bravo na kukubali sana kutoka Congo 🇨🇩 🇨🇩

  • @princekillian3640
    @princekillian3640 Год назад +15

    Wakwanza from kenya leo much love🇰🇪🔥🔥🔥✊

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf Год назад +4

    Eti kisa nime chelewa ndio sipat like sawani 🎉🎉🎉ila directar bravoo tumpe mauwa yake❤❤❤❤

  • @KafLoveyou-mr9mj
    @KafLoveyou-mr9mj Год назад +1

    Hongereni sana nimeipenda nzuli sana❤❤❤

  • @housemanagmentfinishing1151
    @housemanagmentfinishing1151 Год назад +3

    Hongereni kwa move nzuri hongereni pia kwakuzingatia muda hakika tunaenjoy wana hmf wote

  • @AshaKamota-wg4oc
    @AshaKamota-wg4oc Год назад +8

    Malaya wangu Malaya wangu kipivi hebu nidadavulie mbn kudadavua😆❤️

  • @agostinojoseph1951
    @agostinojoseph1951 Год назад +10

    Hapo sawa dakika 15 🎉🎉🎉 bravo mko vizuri nipewe like maana mawazo yangu yamefanyiwa kazi

  • @jumaalex-to2kn
    @jumaalex-to2kn Год назад +3

    Haya mim apa wa mwisho maana kila siku wakwanza utazani mnapewa ela 😂😂😂

  • @Shaddydrammer
    @Shaddydrammer Год назад +2

    bravoo gineus 🎉🎉🎉 mimi pia nataman sana niwe muigizaji kama bravo

  • @abdillahkhamis2081
    @abdillahkhamis2081 Год назад +6

    nakuona kabisa kaka unaelekea alipo CLAM VEVO 🎉

  • @theetrendingsisters2546
    @theetrendingsisters2546 Год назад +3

    Nakubali sana movie imetulia mjomba umecheza poa sana

  • @RukiaMsan-ys3nq
    @RukiaMsan-ys3nq Год назад +2

    kwa kweli nimependa sana hii picha kaka upo vzuri sana

  • @teeanyango358
    @teeanyango358 Год назад +14

    Nilikua nimeisubiri kwa kweli.. much love from 254❤️

  • @Emelanciene1652
    @Emelanciene1652 Год назад +4

    Kazi nzuri sana ❤❤❤❤

  • @dollar105
    @dollar105 Год назад +6

    Kwa kweli ii movie ni kali keep the spirit burning 🎉

  • @mrben227
    @mrben227 Год назад +2

    Kazi nzuri mno,,,jitahid kutuletea kwa wakati ndugu bravo 👏

  • @MuddyMackey11
    @MuddyMackey11 Год назад +1

    Safi saana mnafanyia kaz maombi ya watu nmeona mmeongeza big up saana kwenu kaz nzuri guys .

  • @BernardSangawe-mt5ni
    @BernardSangawe-mt5ni Год назад +3

    Bravo genius unajua kaka❤❤❤

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Год назад +1

    Kazi uko poa sana muendelezo ❤❤❤❤

  • @OmaryShelani-e5f
    @OmaryShelani-e5f Год назад +2

    Bravoo unatupa raha kinyama naamini dunia nyingine ni bonge la season

  • @FatmahHemed
    @FatmahHemed Год назад +3

    Movie nzur San mashaAllah ila tuleteen Kwa haraka jmn ❤

  • @futuremilionnaire3136
    @futuremilionnaire3136 Год назад +2

    nime penda tena iyi baba🇨🇩🇨🇩💰❤️

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Год назад +2

    Director bravo you are the best director ever❤❤❤🎉🎉🎉

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Год назад +1

    Bravo anaona magumu😢🇧🇮

  • @HamisaBori-yl8hk
    @HamisaBori-yl8hk Год назад +2

    Nzuri sana hii mmno😲❤️❤️🤭🇹🇿💅

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад +4

    Mashallah ❤❤ excellent bravoo mungu akufanyie wepes hii movie ni fire 🔥🔥🔥 wallah

  • @bayovantane1314
    @bayovantane1314 Год назад +1

    Saf...iko pw🔥🔥

  • @AliSaid-fi7jr
    @AliSaid-fi7jr Год назад +1

    Ipo vyema sana hii @from pemba#

  • @zaksmyles3396
    @zaksmyles3396 Год назад +9

    Even though I am from central Kenya, it is as if am liking it very much. KEEP UP THE SPIRIT, and the fire burning. napenda talanta zenu

  • @njutujedeofficial2998
    @njutujedeofficial2998 Год назад +1

    Kimeanza kuipenda hii

  • @Lameckthedj
    @Lameckthedj Год назад +3

    nasubiria sehemu ya 4 jamani naifatilia sana film hii najua ipo siku mutakuwa zaidi yake kanumba

  • @abdillahkhamis2081
    @abdillahkhamis2081 Год назад +2

    DIRECTOR BRAVOO hongera sana kaka but usikawie sana kutuburudisha 🎉

  • @YunusHassan-l8m
    @YunusHassan-l8m Год назад +3

    Wewe na kubali kazi zenu kaka sio powa hatakidogo nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤😅

  • @AndreaHamisi-fg9bt
    @AndreaHamisi-fg9bt Год назад +2

    this is the next level

  • @channy-adanzeyimana4014
    @channy-adanzeyimana4014 Год назад +5

    Wakwanz mimi leo kutokea Burundi 🇧🇮 🎉❤

  • @Mr_dontcare-n2f
    @Mr_dontcare-n2f Год назад

    itoshe kusem mnastahil pongez 👏👏

  • @idrisamodo4
    @idrisamodo4 Год назад

    Mwakatobee asipewe scrept😅😅 mwacheni ajimwaee mwaeee 😅 ninavyomjua mm ungesikia chogo ka mwiko

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 Год назад +2

    ❤❤❤❤ episode 5 wepesi mwamba

  • @athumanabdullah1526
    @athumanabdullah1526 Год назад +1

    Vua kofia ya mwakatobe iyoo😂😂😂😂

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl Год назад +1

    Nice movie 😊 thanks kwa muendelezo

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 Год назад +1

    Kibonge mayele

  • @uchebetz7284
    @uchebetz7284 Год назад +4

    Mwakatobe family ✊✊

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 Год назад +1

    Whooow u did it

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Год назад +1

    Maski dada mume wako anateseka😢🇧🇮

  • @paustephano
    @paustephano Год назад

    Kwan mwakatobe humu sio mchawi😂😂😂😂😂😂

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 Год назад

    Khee mke wa makatobe alikuwepo ndani dah basi huyo ndiyo mchawi namba moja

  • @kayungilotv119
    @kayungilotv119 Год назад +1

    Nakubali bravoo kazi nzuri brother

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa Год назад +3

    Mungu azidi kumitia nguvu inshaallah miendelee na kazi yenu na umri mrefu

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад

    Series qali sana hongera

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Год назад

    Mm nazimia wallah😢mana sio kwamauzauza hayoo

  • @KemiByabato-pi4sm
    @KemiByabato-pi4sm Год назад +1

    Blavo kama bravo ❤❤❤🎉🎉

  • @stevenwiston27
    @stevenwiston27 Год назад

    Ila mke wa bravoo anajua sana

  • @LatifaOmary-uj3zs
    @LatifaOmary-uj3zs Год назад +7

    Wakwanza mimi Leo maombi like zangu

  • @HamadiD360
    @HamadiD360 Год назад +2

    Kazi nzuri ila uliwezaje kuchimba shimo na nguo nzuri tena ikiwa umevaa saa ya mkononi

    • @bravoogenius
      @bravoogenius  Год назад +1

      Saa ya buku mbili tu hiyo na tishet ya buku jero wala sio gharama

  • @BAMBA254
    @BAMBA254 Год назад +2

    Keep going guys 💪

  • @razinboy4667
    @razinboy4667 Год назад +1

    iko poa sana naipenda

  • @Kulwa-c3t
    @Kulwa-c3t Год назад +1

    Dunia nyingine hii Kali kuliko

  • @Riziki.AliSalim
    @Riziki.AliSalim Год назад +1

    Kazi zuri nawapenda sana🥰🥰🥰🥰

  • @EshaMahammed-y8k
    @EshaMahammed-y8k Год назад +1

    Story nzuri sana

  • @modynhozmk14
    @modynhozmk14 Год назад +1

    Big UP
    Asante piya kwa kuongeza minutes

  • @Abutwalibuiddy-rq5oe
    @Abutwalibuiddy-rq5oe Год назад

    Mke wa bravo mbona mzur mno ameolewa?????❤❤❤❤❤❤

  • @LydiaQueen-wo9pz
    @LydiaQueen-wo9pz Год назад

    Naku kubali sana bravoo

  • @rikostudio2023
    @rikostudio2023 Год назад +1

    Punguza sauti ya instrumental bro iyo tu bat kilakitu iko sawa

  • @mcomuonyo
    @mcomuonyo Год назад +9

    Kazi nzuri sana Mkuu.Kwa wale wanaofuatilia kama mimi,tafadhali nipeeni likes zangu nirudi tena niitazame

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 Год назад +3

    Nimechelewa jamani leo ila nawapenda sana❤❤❤

  • @qatartrender5834
    @qatartrender5834 Год назад

    Hii kali mnooo😊

  • @VeronicaNkoss
    @VeronicaNkoss Год назад +1

    🎉 nice from ruvuma, nyasa

  • @yusuphlukas-k1d
    @yusuphlukas-k1d Год назад

    noma sana mk vizuri

  • @innocentmakundi3930
    @innocentmakundi3930 Год назад

    Hii move mpk sasa sijaelewa bado

  • @MumahCute-q2e
    @MumahCute-q2e Год назад

    Nimeenda nzur sana nafatilia

  • @Neema_officialy1
    @Neema_officialy1 Год назад

    Jaman kali muendelezo basi

  • @ZuberyNdg
    @ZuberyNdg Год назад

    Nimependa 🤝🤝

  • @MohammedBoga-uc6wh
    @MohammedBoga-uc6wh Год назад +2

    ata mm pia ntka likes 🎉zenu😅

  • @DanielMwashilindi
    @DanielMwashilindi Год назад

    Mnatisha sanaaa❤❤❤❤

  • @emanuelchanya5182
    @emanuelchanya5182 Год назад

    Duh wa 70 bravoo umetisha

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Год назад

    Jamani mauzauzaa😂😂😂

  • @PremioDhaHortencia-dr1ig
    @PremioDhaHortencia-dr1ig Год назад +2

    Bom trabalho aí Tanzânia Eu vós gosto vocês aí . mais Eu peço like.one Kiss 💋 for your all elmentes.

  • @abdillahkhamis2081
    @abdillahkhamis2081 Год назад +1

    FIRE 🎉🎉

  • @Shafiimnyepa-u6w
    @Shafiimnyepa-u6w Год назад +2

    Saf nmeipenda

  • @ZuuYussuf
    @ZuuYussuf Год назад

    hongera sanaaa

  • @chadiaofficial
    @chadiaofficial Год назад

    Love from Chadia official to🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @niajackson8613
    @niajackson8613 Год назад +1

    Good job😇

  • @gasparmpoma3860
    @gasparmpoma3860 Год назад +1

    Part 4 ijeeee

  • @abubakarabudahziyech585
    @abubakarabudahziyech585 Год назад +2

    Gostei muito desse episódio mais força irmão❤

  • @AshaKamota-wg4oc
    @AshaKamota-wg4oc Год назад

    Nzuli sana jamani❤️❤️❤️

  • @FatumaGerald-q9u
    @FatumaGerald-q9u Год назад

    😂😂kuzimia gani uko bravo

  • @GOVERNO-t5x
    @GOVERNO-t5x Год назад

    Noma sana kaza brow

  • @LilianMallya-n1g
    @LilianMallya-n1g Год назад +3

    Unafanya kaz nzuri sana ila naomba uongèe japo minutes kidogo 😊

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 Год назад +1

    Mimi sio wakwanza jamanii😂

  • @zainabuabedi1680
    @zainabuabedi1680 Год назад

    Bravoo genius❤❤

  • @swadiqmalonya-up7mw
    @swadiqmalonya-up7mw Год назад

    Ila unachelewa sana kuweka nyngn